Building & Property

  • Sticky
Wasalaam Tuko kwenye Kijiji cha ujenzi na hapa kila mmoja atapata nafasi ya kutupia ramani ya ujenzi yenye vipimo vyake. Kupitia ramani hizi kila mwana kijiji anaweza jenga nyumba ya ndoto yake. .
Replies
15
Views
956
Licha ya kwamba aina zaidi za tofali za kujengea nyumba lakini watu wengi hujiuliza sana kati ya tofali za kuchoma na tofali za bloku au tofali za simenti ni zipi bora zaidi? angalau zipi zinafaa zaidi kwa ujenzi? kuhusu kulinganisha gharama za hizi aina mbili.
Replies
14
Views
604
Ujenzi wa nyumba kwa kutumia matofali ya kufungamana ni mojawapo ya aina ya ujenzi wa gharama nafuu ambao huondoa matumizi ya udongo mwashi kama kiunganishi kati ya tofali na tofali ingawa mambo yote ya msingi na kanuni za ujenzi lazima vizingatiwe. Kabla ya kuanza ujenzi ni lazima kuwe na...
Replies
2
Views
160
Tofali la kuchoma Hili ni tofali linalopatikana baada ya kutengeneza tofali la udongo na kulichoma kwa kutumia moto. Tanuri ya matofali unafunikwa kwa gana la udongo nje na chini yake moto inawaka kwa siku 2 au 3. Kutengeneza matoli wa njia hii ina gharama zaidi laini matofali yaliyochomwa...
Replies
0
Views
266
Mojawapo ya pyramid refu zaidi huko Nchini Misri (Egypt) lina urefu wa futi 481 sawa na jengo lenye ghorofa 48.Lina uzito wa tani million 14.5,limechukua eneo la mraba hekari 13 sawa na viwanja kumi vya mpira wa miguu.Inaaminika kua lilianza kujengwa mnamo 2540BC na kumalizika miaka 23 baadae...
Replies
5
Views
148
Habari zenu:.. Kumekuwa na kasumba mbaya kwa vijana,vijana wa sasa wananunua mandinga kitu cha ajabu hawana viwanja wala nyumba. Aisee nyumba na kiwanja kila siku inapanda thamani Ila gari linashuka thamani
Replies
8
Views
296
Back
Top