Conspiracy Theories

Practical Explanation ( For Example ) :- `1st of all can you tell me every single seconds detail from that time when you born ?? ( i need every seconds detail ?? that what- what you have thought and done on every single second ) can you tell me every single detail of your `1 cheapest Minute Or...
Replies
8
Views
105
Kipindi ambacho dunia imekuwa sawa na kijiji kidogo, mawasiliano ni rahisi mno. Mpaka leo hayajatolewa majibu; kwa nini ilikuwa vile. Ilitokeaje? Ukweli ni upi? Taarifa zikaanza kutolewa mitandaoni kuwa Rais Magufuli alikuwa na hali mbaya kiafya. Ikaelezwa alifikishwa mpaka Kenya. Wapo...
Replies
10
Views
629
Katika makuzi yetu tumekuwa na marafiki wa udogoni na marafiki wa shuleni. Ni raisi sana taarifa zako kuvuja kutoka kwa watu uliokua nao au kusoma nao. Kumekuwa na taarifa kuwa raisi mstaafu wa Marekani Barack Obama ni mzaliwa wa Kenya. Kulingana na taarifa hizi Obama hakustahili kugombea...
Replies
12
Views
231
Mwanapatholojia James C. Jenkins alikuwa mmoja wa madaktari wanne waliofanya uchunguzi wa mwili wa JFK baada ya kuhamishiwa katika Hospitali ya Naval ya Bethesda. Akieleza katoka uchunguzi wa kifo cha JFK baada ya miaka 55 kwamba aligundua kuwa fuvu hilo lilifanyiwa upasuaji kabla halijafika...
Replies
7
Views
222
Kumekuwa na madai kutoka kwa watumiaji wa Twitter na tovuti mbalimali kuwa hati ya wapiga kura kutoka jimbo la Illinois nchini Marekani na picha ya Michelle Obama inathibitisha kuwa mke wa rais wa zamani ni mwanamume. Ingawa taarifa hizi zimekanushwa na Bodi ya Uchaguzi ya Jimbo la Illinois...
Replies
14
Views
443
Recranation ni neno la kizungu lenye maana ya kuzaliwa upya kwa kiswahili. Kuzaliwa upya huku ni katika mwili mpya au katika mfumo mwingine wa maisha. Madai ya kuishi hapo kabla Kwa kipindi cha miaka 40, mtaalamu wa magonjwa ya akili Ian Stevenson, kutoka Chuo Kikuu cha Virginia, alirekodi...
Replies
19
Views
446
Kumekuwa na tetesi za kuwepo viumbe kutoka sayari z mbali wanajulikana kama "extraterrestrial beings" kwa kingereza. Hawa viumbe wamekuwa wakiripotiwa kuwa wanaonekana duniani katika sehemu mbalimbali na baadhi ya watu Kuna tetesi za kutekwa kwa baadhi ya watu wengi duniani na viumbe hawa...
Replies
24
Views
338
Back
Top