Education

From basic questions to big ideas, the Forum is where educators meet to connect and collaborate about teaching and learning experiences that ignite curiosity, impact lives, and contribute to a better world.
  • Sticky
What's up Here let's talk about the best quote you ever came across with which you use purposefully for personal growth. As we know quotes can be a powerful tool ro educate, encourage, advice or shape one thinking. "Success is not final, failure is not fatal: It is the courage to continue...
Replies
23
Views
720
  • Sticky
Strategies for overcoming bad memories and revealing and healing the most important burdens through the impact of the painful past on the present and the future We understand the immense impact that painful memories can have on our lives, hindering personal growth and well-being. That's why...
Replies
11
Views
231
  • Sticky
KITU NACHOTAKA BABA NINAHITAJI KUSOMA Hodi hodi naingia, baba bora umekuja kuna jambo kukwambia, nisikize mara moja shairi nakusomea, sikiliza zangu hoja kitu nachotaka baba, ninahitaji kusoma wala 'sinipe kibaba, na shamba la kulima eti unipe mbaba, na ndoa ya mapema so niishie la saba...
Replies
18
Views
306
  • Sticky
Ukiwa mtoto mdogo ukiulizwa unahitaji kuwa nani wewe ulikuwa unajibu nini? Kwa upande wangu nlikuwa nataka kuwa dokta mara pirot mara engineer n.k nlikuwa sina muelekeo kwa sababu ya kukosa msimamo kamili but most of time nlitaka kuwa dokta lakini ugumu wa masomo ya physics na biology...
Replies
32
Views
462
Mlo wako sio tu kile unachokula. Pia ni kile unachosikiliza, kutazama, kusoma, na, muhimu zaidi, watu unaoshiriki nao. Chakula huathiri afya yako ya kimwili, lakini mambo haya mengine huathiri afya yako ya akili na kiroho. Huwezi kula vizuri, kisha ukatazama na usikilize vitu ambavyo...
Replies
7
Views
963
Wadau, Bila shaka tumeona 99% ya waliofanya mtihani wamefaulu, Ufaulu wa juu kuliko miaka yote je? Walimu wapewe Maua Yao!? Wanafunzi wapewe kongole? Au Baraza la mitihani kwa kutunga mtihani mzuri? Au tuipongeze serikali?
Replies
9
Views
259
Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) imetangaza matokeo ya kidato cha sita mwaka 2023 huku yakionyesha ufaulu wa jumla umeongezeka kwa asilimia 0.26 ikilinganishwa na mwaka jana 2022. Jumla ya watahiniwa waliosajiliwa kufanya mtihani ni 106, 883 huku wasichana wakiwa ni 47, 340 na wavulana 59...
Replies
37
Views
634
Back
Top