Entrepreneurship & Start Ups

This forum offers discussions, creativity, inspiring ideas, knowledge, and networks for entrepreneurs and business leaders by creating phenomenal business world
Nina maana ukipata watu 20 au 30 kila siku mtu mmoja anatoa 5000 au 10000 na kila siku mtu mmoja anatoka. Siitatusaidia kidogo kupambana na maisha. Wewe ni prezidaa uwezi kimbia ukaacha app
Replies
102
Views
2K
1. Hisa ni nini? Hisa ni sehemu ya umiliki wa kampuni. Hivyo hisa moja inawakilisha asilimia ndogo ya umiliki katika kampuni. Kama kampuni ina hisa milioni moja na mwekezaji anamiliki hisa 10,000, mwekezaji huyu anamiliki 1% ya kampuni. Mwekezaji anayenunua hisa basi ananunua haki ya kumiliki...
Replies
2
Views
673
Hili ni swali ambalo nimeulizwa ila nimeona nije niombe msaada kwa mabisnez mani wa KF Ukizingatia mtu mwenyewe hawezi kutembea all the time mtaani anatafuta tu njia ya passive income Ushauri wako Gily Kondeni0112
Replies
1
Views
417
Mambo matatu muhimu wakati wa kuanzisha biashara 1. Hata kama unayo pesa ya kuanza biashara kubwa. Anza kidogo kisha ikuze kutokana na mzunguko unavoenda. 2. Kama ikiwezekana usifungue biashara mbali sana na eneo lako la umahiri. 3. Anza na mtindo mmoja wa biashara, na katika aina moja ya...
Replies
15
Views
418
Kama hujaamua kutoka ndani na kuingia mtaani ama kwa lugha nyengine kama hujaamua kufuta aibu kichwani mwako basi hii makala haikufai. Mradi huu utakuhitaji kuajiri kina/binti mmoja au zaidi kulingana na upatikanaji na uaminifu wa vijana ambao unahisi watakufaa. Katika mfano wangu ambao...
Replies
11
Views
208
Habari.. Kama kichwa kinavyojieleza chenyewe. Kiasi gani cha fedha uliwahi kushika katika maisha yako. Hapa nataka pesa zako kwa jasho lako wewe mwenyewe sio za kupewa na wazazi wako au ndugu zako au marafiki zako nataka cha kwako pekee yako. Mimi nimeshawahi kushika 15 millions kwenye...
Replies
58
Views
940
Afrika Kusini (Alama: 15.42): Afrika Kusini inaongoza kama nchi yenye ujasiriamali zaidi barani Afrika. Ikiwa na wafanyakazi wenye ujuzi wa hali ya juu, ari ya ushindani, na mazingira rafiki ya biashara, inajivunia uchumi wa pili kwa ukubwa katika bara na ni kitovu cha ukuaji wa viwanda katika...
Replies
9
Views
324
Habari Wanakijiji Kumekuwa na malalamiko mengi kwa vijana kuwa pesa ya kukodi fremu ni kubwa sana,na haswa hapa mjini tatizo hilo limekuwa changamoto ambayo kuiepuka uwezi na hawa madalali sasa wanatumia huhitaji wa fremu kuwa ajili kwao,basi katika kuangalia fursa unazoweza kuzifanya bila kuwa...
Replies
12
Views
226
Ujasiriamali ni nini? Ujasiriamali ni uwezo na nia ya kuendeleza, kuandaa na kusimamia mradi wa kibiashara pamoja na uwezekano wowote wa hatari ya hasara ili kupata faida. Aina za ujasiriamali. Ujasiriamali uko wa aina nyingi. Lakini aina zote zinaangukia kwenye makundi makubwa matatu...
Replies
7
Views
192
1. Kuajiri watu na kutumikia watu.. kwenye maisha ya sasa ya ushindani, inaitaji akili kubwa na sio hardwork tena, Muda ni fedha, anza kutumia muda wa watu(social network, na makampuni wanaingiza hela kupitia muda wawatu) usikae nyuma nyuma anza na wewe ndio dunia ya sasa inataka hivo... Anza...
Replies
55
Views
608
Una wazo gani la biashara? Wengi hupenda kufanya biashara ila wanakwama kwa kukosa mitaji. Hebu eleza hapa unataka kufanya biashara gani na unategemea itakuwa ya mtaji wa kiasi gani. .
Replies
30
Views
690
Ukacheza mchezo wa bahati nasibu ukashinda million 10. Je hiyo hela utafanya biashara ipi?
Replies
42
Views
627
Habari za weekend kf.... Kwenye ulimwengu wa sasa hakuna options nyingine zaidi ya kupambana,uwe umesoma au hujasoma. Changamoto za ajira ni kubwa sana,ajira ni chache kulingana na watu wanaozihitaji hapa nina maana kuna watu zaidi ya 7 wanahitaji ajira mmoja,wanahitimu ni wengi sana ebu...
Replies
52
Views
721
Wakuu kwa mtaji huu naweza fanya biashara gani alafu jioni nikatimba class
Replies
6
Views
185
Oya wadau mwenye mbinu ya kunisaidia niweze kuongeza pesa zangu mara mbili au zaidi, yaani kudoubling hela nliyonayo sasa.. tupeane michongo
Replies
64
Views
1K
Kwema.. Kijana uliyehitimu chuo mwenzi huu najua hapa mpo wengi sana,kama ushawasilisha research kwa maprofessor na ushamaliza kila kitu,nataka nikupe wazo nzuri la kutoboa mazima kabisa yani hutataka ajira ya mtu tena. **Najuwa unapesa ulizosave sio chini ya laki 5 **najuwa una simu nzuri...
Replies
31
Views
697
Habari! Leo nitawaeleza mchanganuo wa biashara hii ya chips biashara ambayo imepamba moto maeneo ya mijini hasa dar es salaam Kwanza biashara hii huathiriwa na vitu vingi kama zilivyo biashara nyingine Nakumbuka mitaa flani nilikuwa nikiishi kulikuwa na huyo mama wa kichaga alikuwa anapata...
Replies
6
Views
274
Biashara ya movies store au library ni biashara nzuri sana kama utaifanya kwa uweledi mzuri, ni biashara isiyotumia nguvu sana. Kwa mtaji wa million 2 unaweza kufanya hii biashara ikakupatia kipato kizuri sana. Kwa atakaye penda mchanganuo wa biashara hii nakukaribisha.. Mchanganuo 👇👇
Replies
13
Views
339
Mimi somo la ujasiriamli sio mzuri ila leo tujadili kuhusu hivi vitu viwili Ujasiriamali na Biashara Ujasiriamali ni nini? Biashara ni nini? Vinatofautiamaje? Utajuaje huyu ni mjasiriamli na yule ni mfanyabiashara Kipi bora zaidi Kipi kinafaida kwa wengi? Stay tuned i will be back soon.
Replies
6
Views
332
Habari! Leo ningependa tujadiliane biashara ambazo zinafaida ila watu wanazipuuzia, unaweza ongeza list ya biashara yako unayofikiri Kuuza genge biashara hii ukipata sehemu yenye watu inaweza kuwa na faida sana sababu unachukua vitu kwa jumla sokoni kisha unaviuza rejareja (raha uwe na usafiri...
Replies
11
Views
283

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top