Say No to domestic violence and Spousal Abuse (both Physical and Psychological!)
Ukatili wa kijinsia ni nini?
Ukatili wa kijinsia ni kitendo chochote ambacho kinaweza kusababisha madhara ya mwili, kingono au kisaikolojia au mateso kwa wanajamii, ikiwa ni pamoja na kutishiwa maisha, kunyimwa...