Sehemu ya 1
Mapambano ya naanza ni siku nyingine Naitwa Thaibu kijana mchapa kazi, nilizaliwa mnamo tarehe 08/06/2004 nilimaliza elimu yangu ya msingi 2016 na siku bahatika kuendelea na shule
hivyo nilitumia mwaka mzima nyumbani mpaka pale nilipoona kuwa sasa inabidi niyajenge maisha yangu...