Kumekuwa na tetesi za kuwepo viumbe kutoka sayari z mbali wanajulikana kama "extraterrestrial beings" kwa kingereza. Hawa viumbe wamekuwa wakiripotiwa kuwa wanaonekana duniani katika sehemu mbalimbali na baadhi ya watu
Kuna tetesi za kutekwa kwa baadhi ya watu wengi duniani na viumbe hawa...