Wasalaaam!
Chemsha Bongo:
-Maswali ambayo huhitaji mtu kutumia akili na ujuzi kuyajibu.
-Mafumbo ni kauli zenye maana iliyofichika na hujumuisha vitendawili na chemshabongo.
Mifano:
a) Kilo moja ya chuma na kilo moja ya nyama ipi nzito?
b) Kipungu alipita juu, mama na ndege wawili...