chemsha bongo

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

  1. Gily

    Kuna pembe tatu ngapi?

    Je katika mchoro huu kuna pembe tatu ngapi?
  2. Gily

    Detective Mystery - Mwanamke huyu alijiua au aliuwawa?

    Kupitia picha hii ya eneo la tukio kama mpelelezi unaweza toa hitimisho lipi juu ya mauaji? Ushahidi wa tukio zima utaupata kutoka kwenye Barua ya wosia kabla mauti haijamkuta Mkono wa kulia ameshika bastola Mkono wa kushoto ameshika sigara Ukutani kuna soketi ya umeme Je marehemu...
  3. Gily

    Chemsha Bongo

    Wasalaaam! Chemsha Bongo: -Maswali ambayo huhitaji mtu kutumia akili na ujuzi kuyajibu. -Mafumbo ni kauli zenye maana iliyofichika na hujumuisha vitendawili na chemshabongo. Mifano: a) Kilo moja ya chuma na kilo moja ya nyama ipi nzito? b) Kipungu alipita juu, mama na ndege wawili...
Back
Top Bottom