demu

  1. Muhindi Wa Kuchoma

    Nilidhani Nimepata Kumbe Nimepatikana

    Wakati nimepanga pande flani za Magomeni Mapipa nikakutana na msichana mmoja mzuri katokea pande za kaskazini (mkoa kapuni). Kumtomgoza akawa anacheka cheka tu nikaona huyu kukubali. Kama asingekuwa amenikubali angenichekea chekea? Tulijikuta tuko kwenye mahusiano nikawa nampa na vizawadi...
Back
Top