Dodoma. Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) limetoa wito kwa wananchi wote wanaomiliki au wanaouza mavazi, viatu, mabegi na vitu vinavyofanana na sare za majeshi nchini kuvisalimisha ndani ya siku saba kuanzia leo.
Wito huo umetangazwa leo Alhamisi Agosti 24, 2023 jijini Dodoma na Kaimu...
Kuna mambo huhitajika kuzingatiwa ili kuvutia kila wakati, ikiwamo mpangilio wa mavazi.
Kwa kijana anayependa unadhifu na kutaka kupendeza katika kila aina ya tukio, hataweza kukosa kuwa na tai katika kabati lake.
Imezoeleka tai mara nyingi huvaliwa maofisini na katika sherehe na shughuli...
Dar es Salaam. Mkutano wa wajumbe zaidi ya 200 wa Kanisa Katoliki Tanzania umeibua mitazamo tofauti kuhusu uwezekano wa watu wenye ulemavu kuingia katika malezi ya wito wa utawa na upadri.
Mjadala huo uliibuka wiki hii wakati wa kongamano la maadhimisho ya miaka 60 ya Konstitusio ya Liturujia...
Butiama. Kwa jamii ya Wakurya wanaoishi katika Wilaya za Tarime, Butiama, Rorya na Serengeti ni jambo la kawaida kuona familia ikichumbia na kuoa binti kwa ajili ya kijana wake wa kiume alifariki dunia kabla ya ndoa, lakini akiwa amefikia umri wa kuoa lakini.
Ndoa za aina hiyo hujulikana kama...
Dodoma. Hospitali ya Benjamin Mkapa imetaja gharama za kupandikizwa uume kuwa ni kati ya Sh6 milioni hadi Sh10 milioni.
Hayo yamesema leo Jumanne Agosti Mosi mwaka 2023 na Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo, Dk Alphonce Chandika wakati akielezea vipaumbele vya bajeti kwa mwaka wa fedha...
Dar es Salaam. Mtandao mpya wa threads umepungua matumizi ya watumiaji wake (Engagement) kwa karibu asilimia 70, jarida la Forbes limebainisha.
Jarida hilo linaloangazia masuala ya masoko, teknolojia na mawasiliano, limesema
mtandao huo uliozinduliwa Julai 5 mwaka huu ulipata watumiaji milioni...
Dar es Salaam. “Wengi hawazingatii wajibu wao, kila mmoja hajui anatakiwa afanye nini, au tupeane mitihani kabla ya kuingia kwenye ndoa?
“Mtu anaweza kuwa na vyeti vingi vya elimu lakini hajui wajibu wake wa ndoa ni nini. Ndani ya wiki mbili ndoa imevunjika na tulichangishwa kweli, inaumiza...
Muktasari:
Threads ambayo ni miongoni mwa mitandao ya kijamii inayomilikiwa na Mark Zuckerberg’s ambapo imepata umaarufu mkubwa baada ya kupata watumiaji wengi ndani ya muda mfupi.
Dar es Salaam. Kampuni ya Meta inayomiliki mitandao ya kijamii ya Facebook na Instagram Jana Alhamis Julai 6...
Muktasari:
Mwanaume anayekadiriwa kuwa na umri miaka 23 amefumaniwa na mkewe akifanya mapenzi na mwanamke mwingine ndani ya Kanisa la Bungonya tukio lililowashtua wengi katika Wilaya ya Bungonya.
Uganda. Kundi la waumini wa Kanisa la Bungonya lililoko wilayani Kayunga nchini Uganda wamesusia...
Muktasari:
Lissu ataka viwango vya kkodi kuangaliwa upya, kwa kuwa wazi ili anayelipa ana anayekusanya ajue ni kiasi gani.
Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tanzania Bara, Tundu Lissu amesema mfumo na viwango vya kodi vinapaswa kuwa wazi ili...
Dar es Salaam. Jeshi la Polisi limetoa maagizo kwa makamanda wa mikoa yote nchini kuhakikisha wanafanya doria katika barabara zote zitakazotumiwa na mabasi yatakayokuwa yanafanya safari zake saa 24 katika kudhibiti aina zozote za kihalifu.
Huo ni utekelezaji wa agizo lilotolewa, Juni 28, mwaka...
Dar es Salaam. Sakata la Jaji Mkuu Profesa Ibrahimu Juma kuongezewa muda wa utumishi wa wadhifa huo sasa limetinga mahakamani baada ya wakili mmoja kufungua kesi ya kikatiba Mahakama Kuu Masjala Kuu, akipinga hatua hiyo.
Wakili huyo, Humphrey Malenga amefungua kesi hiyo siku chache baada ya...
Dar es Salaam. Utafiti uliofanywa na idara ya magonjwa ya mfumo wa mkojo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa umebaini mitindo ya kujamiiana inaweza kusababisha uume kuvunjika.
Utafiti huo unaeleza miongoni mwa mikao hiyo ni mwanamke kukalia uume.
Utafiti huo uliochapishwa leo Jumanne, Julai 4...
YANGA tayari imeshamtangaza kocha wao mpya kuwa ni Miguel Gamondi raia wa Argentina akiwa ndio bosi wao wa ufundi kuanzia sasa tayari kwa msimu ujao.
Gamondi anakuja kuchukua nafasi ya Mtunisia Nasreddine Nabi ambaye aligoma kuongeza mkataba kuifundisha timu hiyo baada ya kuingoza timu hiyo kwa...