gazeti la mwananchi

  1. Gily

    JWTZ watoa siku saba kwa wenye sare za kijeshi kuzisalimisha

    Dodoma. Jeshi la Wananchi Tanzania (JWTZ) limetoa wito kwa wananchi wote wanaomiliki au wanaouza mavazi, viatu, mabegi na vitu vinavyofanana na sare za majeshi nchini kuvisalimisha ndani ya siku saba kuanzia leo. Wito huo umetangazwa leo Alhamisi Agosti 24, 2023 jijini Dodoma na Kaimu...
  2. Gily

    Makala Zingatia haya unapovaa tai Jumatatu, Agosti 07, 2023

    Kuna mambo huhitajika kuzingatiwa ili kuvutia kila wakati, ikiwamo mpangilio wa mavazi. Kwa kijana anayependa unadhifu na kutaka kupendeza katika kila aina ya tukio, hataweza kukosa kuwa na tai katika kabati lake. Imezoeleka tai mara nyingi huvaliwa maofisini na katika sherehe na shughuli...
  3. Gily

    Hizi hapa sababu wenye ulemavu kuzuiliwa upadri, utawa Jumatatu, Agosti 07, 2023

    Dar es Salaam. Mkutano wa wajumbe zaidi ya 200 wa Kanisa Katoliki Tanzania umeibua mitazamo tofauti kuhusu uwezekano wa watu wenye ulemavu kuingia katika malezi ya wito wa utawa na upadri. Mjadala huo uliibuka wiki hii wakati wa kongamano la maadhimisho ya miaka 60 ya Konstitusio ya Liturujia...
  4. Gily

    Ndoa za makaburi janga kwa wanawake, watoto mkoani Mara

    Butiama. Kwa jamii ya Wakurya wanaoishi katika Wilaya za Tarime, Butiama, Rorya na Serengeti ni jambo la kawaida kuona familia ikichumbia na kuoa binti kwa ajili ya kijana wake wa kiume alifariki dunia kabla ya ndoa, lakini akiwa amefikia umri wa kuoa lakini. Ndoa za aina hiyo hujulikana kama...
  5. Gily

    Kupandikiza uume Hospitali ya Benjamin Mkapa Sh6 milioni

    Dodoma. Hospitali ya Benjamin Mkapa imetaja gharama za kupandikizwa uume kuwa ni kati ya Sh6 milioni hadi Sh10 milioni. Hayo yamesema leo Jumanne Agosti Mosi mwaka 2023 na Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo, Dk Alphonce Chandika wakati akielezea vipaumbele vya bajeti kwa mwaka wa fedha...
  6. Gily

    Mtandao mpya wa Threads waporomoka

    Dar es Salaam. Mtandao mpya wa threads umepungua matumizi ya watumiaji wake (Engagement) kwa karibu asilimia 70, jarida la Forbes limebainisha. Jarida hilo linaloangazia masuala ya masoko, teknolojia na mawasiliano, limesema mtandao huo uliozinduliwa Julai 5 mwaka huu ulipata watumiaji milioni...
  7. Gily

    Masaibu ya wanawake walioolewa kama hawajaolewa

    Dar es Salaam. “Wengi hawazingatii wajibu wao, kila mmoja hajui anatakiwa afanye nini, au tupeane mitihani kabla ya kuingia kwenye ndoa? “Mtu anaweza kuwa na vyeti vingi vya elimu lakini hajui wajibu wake wa ndoa ni nini. Ndani ya wiki mbili ndoa imevunjika na tulichangishwa kweli, inaumiza...
  8. Gily

    Huu ndio utofauti wa Threads, Twitter

    Muktasari: Threads ambayo ni miongoni mwa mitandao ya kijamii inayomilikiwa na Mark Zuckerberg’s ambapo imepata umaarufu mkubwa baada ya kupata watumiaji wengi ndani ya muda mfupi. Dar es Salaam. Kampuni ya Meta inayomiliki mitandao ya kijamii ya Facebook na Instagram Jana Alhamis Julai 6...
  9. Gily

    Wafumaniwa wakifanya ngono kanisani, ibada zasitishwa

    Muktasari: Mwanaume anayekadiriwa kuwa na umri miaka 23 amefumaniwa na mkewe akifanya mapenzi na mwanamke mwingine ndani ya Kanisa la Bungonya tukio lililowashtua wengi katika Wilaya ya Bungonya. Uganda. Kundi la waumini wa Kanisa la Bungonya lililoko wilayani Kayunga nchini Uganda wamesusia...
  10. Gily

    Hata mwanamke hupatwa na ngiri

    Muktasari: Lissu ataka viwango vya kkodi kuangaliwa upya, kwa kuwa wazi ili anayelipa ana anayekusanya ajue ni kiasi gani. Dar es Salaam. Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Tanzania Bara, Tundu Lissu amesema mfumo na viwango vya kodi vinapaswa kuwa wazi ili...
  11. Gily

    Doria ya mabasi abiria barabarani sasa saa 24

    Dar es Salaam. Jeshi la Polisi limetoa maagizo kwa makamanda wa mikoa yote nchini kuhakikisha wanafanya doria katika barabara zote zitakazotumiwa na mabasi yatakayokuwa yanafanya safari zake saa 24 katika kudhibiti aina zozote za kihalifu. Huo ni utekelezaji wa agizo lilotolewa, Juni 28, mwaka...
  12. Gily

    Ngoma nzito, Jaji Mkuu apingwa kortini

    Dar es Salaam. Sakata la Jaji Mkuu Profesa Ibrahimu Juma kuongezewa muda wa utumishi wa wadhifa huo sasa limetinga mahakamani baada ya wakili mmoja kufungua kesi ya kikatiba Mahakama Kuu Masjala Kuu, akipinga hatua hiyo. Wakili huyo, Humphrey Malenga amefungua kesi hiyo siku chache baada ya...
  13. Gily

    Korti yazidi kumweka kifungoni Fatma Karume

    Dar es Salaam. Hatima ya wakili wa kujitegemea, Fatma Karume kufanya kazi ya uwakili Tanzania Bara bado iko njiapanda baada ya Mahakama ya Rufani kutupilia mbali shauri lake la kupinga kusimamishwa. Wakili Karume maarufu kama Shangazi, alisimamishwa kwa muda kutoa huduma hiyo na Mahakama Kuu...
  14. Gily

    Utafiti: Mitindo ya kujamiiana yaweza vunja uume

    Dar es Salaam. Utafiti uliofanywa na idara ya magonjwa ya mfumo wa mkojo katika Hospitali ya Benjamin Mkapa umebaini mitindo ya kujamiiana inaweza kusababisha uume kuvunjika. Utafiti huo unaeleza miongoni mwa mikao hiyo ni mwanamke kukalia uume. Utafiti huo uliochapishwa leo Jumanne, Julai 4...
  15. Gily

    Wapaka mbao rangi ya ukindu kuhadaa wateja

    Dar es Salaam. Natembea kuelekea Buguruni eneo la Binti Madenge. Hapa nakutana na wafanyabiashara wanaouza mbao na wengine wakifanya kazi ya kuingiza mbao ndani ya mapipa. Navutiwa na kazi ile, nikitaka kujua ni kwa nini wanatumbukiza mbao ndani ya yale mapipa marefu yenye maji ya rangi ya...
  16. Gily

    Madereva daladala Arusha wagoma, abiria wapanda toyo

    Arusha. Wakazi wa Jiji la Arusha wakiwamo wanafunzi waliofungua shule leo Jumatatu Julai 3, 2023 wamepitia msoto wa hali ya juu kutokana na kukosa usafiri. Adha ya usafiri imesababishwa na mgomo wa daladala unaoendelea katika barabara zote za Jiji la Arusha na Arumeru kushinikiza kuondolewa kwa...
Back
Top