WAHUSIKA
Gerbet == @Gily
Mkuu wa kituo == @mshamba_mkuu
Muuza mahindi == @Analyse
Wahusika wengine watakuja mbeleni
KIJIJI CHA WAKAMOTO:
Kijana msomi Gerbet anamaliza masomo yake ya udakatari na kupangiwa katika kijiji kiitwacho WakaMoto kwa ajili ya kupata kazi hapo, safari inaanza...