katoliki

  1. Muhindi Wa Kuchoma

    Papa asema makasisi wa Kanisa Katoliki wanaweza kuwabariki wapenzi wa jinsi moja

    Papa Francis amewaruhusu mapadre kuwabariki wapenzi wa jinsi moja, yakiwa ni maendeleo makubwa kwa watu wanaoshiriki mapenzi ya jinsi moja na mahusiano mengine ya kijinsia wanaofahamika kama LGBT katika Kanisa Katoliki la Roma. Kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki la Roma amesema makasisi wanapaswa...
  2. Gily

    Choir - Pendo Langu Lyrics

    Mtunzi: Francisy Mbilango 1. Pendo langu ninakupa kwa sababu wewe Bwana wangu uliniumba x 2 Pendo, pendo langu pendo, pendo langu pendo, pendo langu (IV) Pendo pendo pendo pendo pendo pendo langu (III) Pendo Mmmh pendo Mmmh pendo pendo langu (II) Pendo langu, nakupa pendo langu (I) x 2 2...
Back
Top