Nawasalimu wakuu
Swala la mahari limekua kipengele sana kwa vijana siku hizi wanalalamika kuwa kiasi ni kikubwa, wengine wanaona nikama imekua biashara yaani watoto wakike wamekua mtaji kwa wazazi wao...
Ninacho taka kuuliza
Ni sawa mwanaume kusaidiwa kutoa mahari na mpenzi wako wa kike?
Je...