maarufu

  1. Hakimu

    Je unatamani kuwa mtu maarufu?

    Ulishawahi kukaa na kuwaza kuwa unatamani kuwa mtu maaraufu? Ungeutumiaje umaarufu wako? Njia gani uliwaza kutumia ili kufikia umaarufu? Je bado unandoto hizo? La na kwanini?
Back
Top