mauaji

  1. Gily

    Kesi ya Mauaji ya Alwinder ya 1952 - Usaliti ndani ya ndoa

    Onyo: Baadhi ya maelezo katika hadithi hii yanaweza kuwa ya kusumbua. Kesi hii ya mauaji inachukuliwa kuwa moja ya zilizo muhimu zaidi katika historia ya uchunguzi wa Polisi wa Tamil Nadu kwani sayansi ya uchunguzi ilichukua jukumu ambalo halijawahi kushuhudiwa katika kuthibitisha mauaji...
  2. Gily

    Detective Mystery - Mauaji ya Kelvin Masumba

    Ni saa kumi na mbili jioni na Kelvin Masumba amekutwa ameuawa. Hata hivyo hakuna muuaji aliyepatikana. Lakini polisi walipata mashahidi. Kulikuwa na watu wengine 5 ndani ya nyumba wakati wa mauaji ya Kelvin. Ushahidi uliotolewa: 1. Mpishi alisema alikuwa akipika chakula cha jioni. 2. Mtunza...
  3. Gily

    Detective Mystery - Redio ya kaseti

    Redio ya Kasset! Mtu mmoja tajiri alipatikana akiwa amefariki nyumbani kwake. Polisi walipokuja kufanya upelelezi, walikuta ameshika radio ya kaseti katika mkono wake wa kushoto na bastola katika mkono wake wa kulia. Afisa wa polisi alibonyeza kitufe kuch 'play' kwenye kaseti. Akasikia sauti...
Back
Top