mimba

  1. Gily

    Unafahamu unaweza kupata mimba ukiwa na mimba?

    Inatokea mara chache sana kwa mwanamke kupata mimba mbili kwa wakati mmoja, au kupata ujauzito akiwa mjamzito. Wataalamu wanaorodhesha sababu tatu za kibaiolojia ambazo zinapelekea ugumu wa hilo kutokea: 1. Mayai kutozalishwa ama kutoka. Kawaida mwanamke anahitaji kutoa yai lenye afya ili...
Back
Top