misri

  1. Muhindi Wa Kuchoma

    Pyramid za Misri

    Mojawapo ya pyramid refu zaidi huko Nchini Misri (Egypt) lina urefu wa futi 481 sawa na jengo lenye ghorofa 48.Lina uzito wa tani million 14.5,limechukua eneo la mraba hekari 13 sawa na viwanja kumi vya mpira wa miguu.Inaaminika kua lilianza kujengwa mnamo 2540BC na kumalizika miaka 23 baadae...
Back
Top