moto

  1. Hakimu

    Unamwaminia mwanamuziki gani kwenye mashairi hazingui?

    WanaKijiji wazima huko? Huku poa kabisa Leo ninaswali kwenye Muziki nani unajua hata aandike ngoma amelala lazima mashairi ya nyooke, mimi wangu hawa hapa wa tatu 1.Diamond Platnumz 2.Harmonize 3.Zuchu
  2. A

    Mambo 5 yanayo hatarisha uhai wa battery ya simu yako

    1.Simu kupata moto Ikiwa unatumia simu yako na inapata moto ni moja kati ya dalili kuwa inafanya kazi kupita uwezo wake, hii inaadhiri battery 2.Power bank Baadhi ya power bank zinaharibu battery kutokana kuwa na ubora mbovu au kuwango cha umeme kinachotoa 3.Charge Zingatia charge ya simu...
  3. Hakimu

    Simulizi: Kijiji cha Wakamoto na hekaheka za Gerbet

    WAHUSIKA Gerbet == @Gily Mkuu wa kituo == @mshamba_mkuu Muuza mahindi == @Analyse Wahusika wengine watakuja mbeleni KIJIJI CHA WAKAMOTO: Kijana msomi Gerbet anamaliza masomo yake ya udakatari na kupangiwa katika kijiji kiitwacho WakaMoto kwa ajili ya kupata kazi hapo, safari inaanza...
Back
Top