Wasalaam
Kumekuwa na ubishani mwingi kuhusu yupi ni mwanamziki bora wa kike kuwahi kutokea.
Kwenye Billboard Award Top Artist Taylor Swift amekuwa akiongoza kupata tuzo zaidi ya mara nne wakifatuwa na Christina Aguilera, Adele, Alicia Keys, Mariah Carey, and Rihanna.
Ila binafsi katika...