nguvu za kiume

  1. Muhindi Wa Kuchoma

    Karanga mbichi, mhogo, nazi haviongezi nguvu za kiume

    Kina imani kiwa mihigo, jaranga na nazi huongeza nguvu za kiume, SIO KWELI. Hakuna ushahidi wa moja kwa moja kiwa zinaongeza nguvu za kiume, ingawa kisayansi kutumia vitus hivi huongeza shahawa. Kwa wenye matatizo ya nguvu za kijme wasitegemee kupona kutumia njia hizi.
  2. Gily

    Kupandikiza uume Hospitali ya Benjamin Mkapa Sh6 milioni

    Dodoma. Hospitali ya Benjamin Mkapa imetaja gharama za kupandikizwa uume kuwa ni kati ya Sh6 milioni hadi Sh10 milioni. Hayo yamesema leo Jumanne Agosti Mosi mwaka 2023 na Mkurugenzi Mtendaji wa hospitali hiyo, Dk Alphonce Chandika wakati akielezea vipaumbele vya bajeti kwa mwaka wa fedha...
Back
Top