Wasalaam
MAHITAJI:
Sulphonic acid, soda ash, maji yaliyochujwa vizuri, perfume, Rangi yoyote inayovutia, sless, na Chumvi.
JINSI YA KUTENGENEZA:
Andaa vizuri chombo chako kwaajili ya kutengenezea sabuni yako kama ndoo au pipa pamoja na kuandaa malighafi zako huku ukizingatia usafi...