Je, nini maana ya Urithi?
Urithi ni mali na madeni anayoacha mtu baada ya kifo chake kwa ajili ya watu ambao wanastahili kumiliki mali na madeni hayo kwa mujibu wa sheria
Nini lengo kuu la kuwapo sheria za Mirathi?
Lengo kuu la uwepo wa sheria za mirathi ni kuweka utaratibu wa kuhakikisha...