shule

  1. Urban Edmund

    Unafanya kazi gani ? Ulisomea nini ? uliipenda kazi gani ?

    mimi Binafsi ninafanya kazi za kijasiriamali, kilimo na kufundisha (Tuition) but by professional ni Pharmaceutical Personnel (mtaalamu wa madawa) nilitamani niwe Electronics Engineer vipi kwa upande wako @Leejay @Gily @mshamba_mkuu , @Kilimbatz , @Hakimu
  2. Gily

    Ulikuwa na swagger gani shuleni?

    Waraap Wakati niko shule nilikuwa nachomekeq shati mbele tu🤣 Kipindi hicho ilikuwa swagger kinyama. Wenzangu na mimi ambao tushawahi vaa durak mpo humu😀 Hebu tueleze ulikuwa na swagger zip kipindi uko shule ?
Back
Top