simba

  1. Hakimu

    Simba kutambulisha kocha mpya

    kocha mpyaaaaaaaa tutegemee makubwa wana msimbazi
  2. Muhindi Wa Kuchoma

    Simba 2 - 2 Al Ahly | Benjamin Mkapa Stadium | 20-Oct-2023

  3. Hakimu

    Dabi ya Simba na Yanga (Ngao ya jamiii 2023) Tanga (SIMBA 3 YANGA 0 - Penalt)

    Eeeeeee bwana weeee, siku tuliokuwa tunaisubiri kwa hamu na Hali na Mali ya kushuhudia msimu mwingine was mashindano, hasa baada ya Yanga kuwa na msimu mzuri uliopita Je huu utakuwa wa Nani? Ngao ya jamiii ilipigwa mechi Yanga na Azam, Yanga akaibuka kidedea kwa 2-0 Kikapigwa Tena kesho...
Back
Top