tanzania

  1. Muhindi Wa Kuchoma

    Raisi wa awamu ya pili Tanzania, Ali Hassan Mwinyi afariki dunia

    Rais mstaafu wa awamu ya Pili, Ali Hassan Mwinyi amefariki leo, Februari 29, 2024 saa 11:30 Jioni katika hospitali ya Mzena, Dar es Salaam alipokuwa anapatiwa matibabu ya ugonjwa wa Saratani ya Mapafu. Tangu Novemba 2023, alikuwa anapatiwa matibabu huko London, Uingereza na baadaye kurejeshwa...
  2. Muhindi Wa Kuchoma

    Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania Edward Lowassa afariki dunia

    Waziri Mkuu mstaafu wa Tanzania Edward Lowassa amefariki dunia, akiwa anapatiwa matibabu jijini Dar es Salaam. Tangazo la kifo cha Lowassa kimetangazwa Makamu wa Rais wa Tanzania Dkt Philip Mpango. Katika tangazo fupi alilolitoa kupitia televisheni ya taifa, Mpango amesema kuwa Lowassa...
  3. Muhindi Wa Kuchoma

    Conspiracy Theories - Magufuli alifariki lini? wapi?

    Kipindi ambacho dunia imekuwa sawa na kijiji kidogo, mawasiliano ni rahisi mno. Mpaka leo hayajatolewa majibu; kwa nini ilikuwa vile. Ilitokeaje? Ukweli ni upi? Taarifa zikaanza kutolewa mitandaoni kuwa Rais Magufuli alikuwa na hali mbaya kiafya. Ikaelezwa alifikishwa mpaka Kenya. Wapo...
  4. Gily

    Mirathi: Maswali na Majibu

    Je, nini maana ya Urithi? Urithi ni mali na madeni anayoacha mtu baada ya kifo chake kwa ajili ya watu ambao wanastahili kumiliki mali na madeni hayo kwa mujibu wa sheria Nini lengo kuu la kuwapo sheria za Mirathi? Lengo kuu la uwepo wa sheria za mirathi ni kuweka utaratibu wa kuhakikisha...
  5. Gily

    UTAFITI: Ukubwa wa uume kwa wanaume wa Tanzania

    Matokeo: Katika wanaume 253 wa Kitanzania wenye umri wa miaka 10 hadi 47 wastani wa ± SD urefu wa uume kwa watu wazima ulikuwa 11.5 ± 1.6 cm, wastani kikonyo ulikuwa 8.7 ± 0.9 cm na mduara wa wastani wa mapana ulikuwa 8.8 ± 0.9 cm. Kama ilivyotarajiwa, kutokana na mabadiliko ya kubalehe, vipimo...
Back
Top