ukichaji

  1. A

    Mambo 5 yanayo hatarisha uhai wa battery ya simu yako

    1.Simu kupata moto Ikiwa unatumia simu yako na inapata moto ni moja kati ya dalili kuwa inafanya kazi kupita uwezo wake, hii inaadhiri battery 2.Power bank Baadhi ya power bank zinaharibu battery kutokana kuwa na ubora mbovu au kuwango cha umeme kinachotoa 3.Charge Zingatia charge ya simu...
Back
Top