unatokea

  1. Gily

    Uko pande zipi?

    Mambo vipi Hapa ni sehemu ya kuandika unatokea wapi au unaishi wapi. Binafsi kwa sasa niko naishi Kinondoni Manyanya. Ila natokea Kilimanjaro Mkuu Rombo😄 Angalizo: kama mtu akiandika anatokea mbinguni au motoni atakula makofi😬
Back
Top