yanga

  1. Hakimu

    Dabi ya Simba na Yanga (Ngao ya jamiii 2023) Tanga (SIMBA 3 YANGA 0 - Penalt)

    Eeeeeee bwana weeee, siku tuliokuwa tunaisubiri kwa hamu na Hali na Mali ya kushuhudia msimu mwingine was mashindano, hasa baada ya Yanga kuwa na msimu mzuri uliopita Je huu utakuwa wa Nani? Ngao ya jamiii ilipigwa mechi Yanga na Azam, Yanga akaibuka kidedea kwa 2-0 Kikapigwa Tena kesho...
  2. Hakimu

    Kocha Nabi Atua FAR Rabat

    Aliyekuwa kocha wa Yanga Nasreddine Nabi amesaini mkataba wa miaka miwili kuwafundisha Mabingwa wa Ligi Kuu ya Morocco FAR Rabat. Watani mnasemajeeeeeee
  3. K

    Young Africans Special Thread

    Historia ya Klabu ya Yanga SC inatokea tangu enzi za miaka ya 1910, ingawaje historia kamili ilianza kuandikwa mwaka 1935. Kulikuwa kuna timu inaitwa New Youngs ambayo Mwaka 1935 uwezo wake ulishuka sana kusababisha wanachama kutofautiana na kuleta migogoro katika Klabu na ukasababisha baadhi...
Back
Top