zuchu

  1. Muhindi Wa Kuchoma

    Zuchu afungiwa kujihusisha na shughuli za sanaa Zanzibar

    Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni Zanzibar limemfungia Msanii wa Bongo Fleva Zuhura Othman Suod (ZUCHU) kwa muda wa miezi sita na kulipa faini ya shiling milioni moja za kitanzania kutokana na kuimba nyimbo zisizokuwa na maadili na maudhui mazuri kwa vijana wa kizanzibar. Kifungo...
  2. Hakimu

    Unamwaminia mwanamuziki gani kwenye mashairi hazingui?

    WanaKijiji wazima huko? Huku poa kabisa Leo ninaswali kwenye Muziki nani unajua hata aandike ngoma amelala lazima mashairi ya nyooke, mimi wangu hawa hapa wa tatu 1.Diamond Platnumz 2.Harmonize 3.Zuchu
Back
Top