Afya ya mtoto: Mambo ambayo hutakiwi kufanya kwa mtoto

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,590
Reaction score
26,196
Points
113
Hutakiwi kumbusu mtoto sikioni:
Ukimbusu mtoto sikioni. Imekuwa ni kawaida ya watu kubusu watoto masikioni, wasijue hii inaweza mletea mtoto kuwa kiziwi. Bush hili ambalo hutambulila kama 'Busu lisilo na hatia' linaweza pia mletea mtoto maumivu ya maisha inapotokea ngoma imepasuka.

English: An innocent kiss right on the ear opening creates strong suction that tugs on the delicate eardrum, resulting in a recently recognized condition known as "cochlear ear-kiss injury." Such a kiss can lead not only to permanent hearing loss, but a host of other troubling ear symptoms including ringing, sensitivity to sound, distortion and aural fullness.

1692192181605.png

Wazazi wenzangu karibuni kwenye darasa la malezi ya watoto. Hapa kwa pamoja tutafundishana mambo mengi kuhusu afya ya mtoto.
 
Mtoto kulala na tumbo anaweza kufa
Mtoto kulala na tumbo inahitaji mzazi awe karibu au awe katika uangalizi wa karibu.

Watoto wanaolala juu ya tumbo lao wana hatari kubwa zaidi ya kufa kwa sababu ya "sudden death syndrome " ambapo watoto wanaweza kuishia kuvuta na kupumua tena kaboni dioksidi yao wenyewe. Hii ni mbaya kwa sababu hii hukata usambazaji wao wa oksijeni, ambayo inaweza kusababisha kukosa hewa na kifo. Ni bora kwa watoto kulala chali.

Vile vile ni hatari mtoto kulala upande kwa sababu anaweza kugeuka akalalia tumbo na kupelekea "sudden death syndrom" - kifo cha ghafla kwa mtoto.

Utaratibu mzuri wa mtoto kulala
1692193227560.png

Hatari mtoto kulala na tumbo
SleepPositionIllustration-1600x900 (1).jpg
 

Similar threads

Kupumua ni jambo muhimu zaidi kwa afya na ukuaji wa mtoto. Watu wote wanapaswa kupumua kupitia pua zao na sio kupitia kinywa chao. Pua imetengenezwa na kutayarishwa kupasha moto na kulainisha hewa inayoingia kwenye mapafu. Kuna baadhi ya watu ambao huwa na tabia ya kupumua kupitia vinywa vyao...
Replies
2
Views
215
Je, ni umri gani napaswa kumpa mtoto wangu maziwa ya Ng'ombe? Baada ya umri wa miezi 12 (lakini sio kabla ya miezi 12), mtoto wako anaweza kupewa maziwa ya ng'ombe. Kabla ya mtoto wako kufikia umri wa miezi 12, maziwa ya ng'ombe yanaweza kumweka katika hatari ya kutokwa na damu ndani ya utumbo...
Replies
6
Views
318
Kulingana na Utafiti uliofanyika huko nchini Japani wanadai Alarm zina madhara ikiwa utatumia kukuamsha kila siku. Alarm huongeza shinikizo la damu na kiwango cha moyo, mambo haya yanaweza kuwa na athari mbaya kwa afya yako kwa muda mrefu. Kuamka kwa kelele ya mshtuko kunaweza kuwa mbaya...
Replies
5
Views
191
Afya ni Afya wote tutakufa . Wanakijiji habari zenu , Mimi najua waliowengi kwa wanakijiji mmesafiri vijijini na mijini , leo mwenzenu naikumbusha tena serikali kuwa hawa watu wa afya hasa kwenye hizi zahanati ni wazi kuwa wengi wao ni watabibu . Nisichoweza kupinga ni kuwa kwenye ulimwengu wa...
Replies
16
Views
265
Replies
8
Views
479
Back
Top