Chemsha Bongo: Je dereva ni nani kwa kijana yule?

KijijiForums

Official Account
KF Moderator
Joined
Jun 5, 2023
Messages
26
Reaction score
57
Points
0
Kijana aliyekuwa karibu na dereva aliulizwa ni nani kwako anayeendesha? akajibu "kaka mkubwa wa mjomba wake na dereva ni mjomba wangu"

Je dereva ni nani kwa kijana yule?​
 

Similar threads

Baba mmoja alikuwa na mabinti Sita na kila binti alikuwa na kaka mmoja. Je, baba huyu alikuwa na watoto wangapi?
Replies
3
Views
269
Chidola na Chilemba ni watoto mapacha. Kesho Chidola atasherekea siku yake ya 5 ya kuzaliwa. Chilemba yeye itabidi asubiri mpaka mwaka ujao pale atakapofikisha umri wa miaka mitano ndio asherekee siku yake ya kuzaliwa. Je, Leo ni tarehe ngapi?
Replies
3
Views
587
Binti Kidawa alikwenda dukani kununua mkate na noti ya 1000. Akakuta mkate unauzwa 700, akatoa elfu 1 na kumpa muuzaji. Muuzaji hakuwa na chenji ikabidi akaombe chenji dukani kwa Manka. Baada ya muda kidogo Binti Kidawa akarudi kwa muuza duka na kumwambia noti ya elfu 1 aliyompa ni feki. Muuza...
Replies
11
Views
276
Mwanamke mmoja aliingia Dukani na kuiba Sh.100 bila mwenye Duka kujua. Baada ya dk5 akarudi na kununua kitu chenye thamani ya Sh.70 kwa kutumia ile hela aliyoiba. Mwenye duka akamrudishia chenji ya Sh.30 Mwenye Duka Kapoteza Sh. Ngapi? A: 30 B: 70 C: 100 D: 130 E: 170 F: 200
Replies
1
Views
170
Nina mayai sita Nimevunja mawili Nimekaanga mawili Nimekula mawili Je, nimebakiwa na mayai mangapi?
Replies
2
Views
180

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top