- Joined
- Jun 5, 2023
- Messages
- 26
- Reaction score
- 57
- Points
- 0
Mwanamke mmoja aliingia Dukani na kuiba Sh.100 bila mwenye Duka kujua. Baada ya dk5 akarudi na kununua kitu chenye thamani ya Sh.70 kwa kutumia ile hela aliyoiba. Mwenye duka akamrudishia chenji ya Sh.30
Mwenye Duka Kapoteza Sh. Ngapi?
A: 30
B: 70
C: 100
D: 130
E: 170
F: 200
Mwenye Duka Kapoteza Sh. Ngapi?
A: 30
B: 70
C: 100
D: 130
E: 170
F: 200