Chemsha Bongo

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,617
Reaction score
26,429
Points
113
Wasalaaam!

Chemsha Bongo:
-Maswali ambayo huhitaji mtu kutumia akili na ujuzi kuyajibu.
-Mafumbo ni kauli zenye maana iliyofichika na hujumuisha vitendawili na chemshabongo.

Mifano:
a) Kilo moja ya chuma na kilo moja ya nyama ipi nzito?
b) Kipungu alipita juu, mama na ndege wawili wakamwangalia. Je macho mangapi yalimuona kipungu?

Hapa tutakuwa tunatupia chemsha bongo ili kuchangamdha akili zetu. Kama kuna mtu yeyote ana chemsha bongo tupia wanakijiji wachemshe bongo zao.


Karibuni sana wanakijiji 🙂
 
CHEMSHA BONGO

 
Last edited by a moderator:
CHEMSHA BONGO

 
Last edited by a moderator:
CHEMSHA BONGO

 
Last edited by a moderator:
CHEMSHA BONGO

Mwalimu aliingia darasani na kusema "kama jana ingekua kesho basi leo ingekua Jumamosi.".

Je, mwalimu aliongea maneno hayo siku gani?.​
 
CHEMSHA BONGO

 
Last edited by a moderator:
CHEMSHA BONGO

Mimi ni mpiga picha ambaye nilipiga picha mpiga picha aliyekuwa akipiga picha wapiga picha waliokuwa wanapigana picha.

Je, niliwapiga picha watu wangapi?​
 
CHEMSHA BONGO

Chidola na Chilemba ni watoto mapacha. Kesho Chidola atasherekea siku yake ya 5 ya kuzaliwa. Chilemba yeye itabidi asubiri mpaka mwaka

Tar 31 mwezi wa 12​
 
Na venye sipendi kuchosha akili yangu...nasoma tu comments wajameni
 

Similar threads

Kijana aliyekuwa karibu na dereva aliulizwa ni nani kwako anayeendesha? akajibu "kaka mkubwa wa mjomba wake na dereva ni mjomba wangu" Je dereva ni nani kwa kijana yule?
Replies
1
Views
194
Baba mmoja alikuwa na mabinti Sita na kila binti alikuwa na kaka mmoja. Je, baba huyu alikuwa na watoto wangapi?
Replies
3
Views
269
Chidola na Chilemba ni watoto mapacha. Kesho Chidola atasherekea siku yake ya 5 ya kuzaliwa. Chilemba yeye itabidi asubiri mpaka mwaka ujao pale atakapofikisha umri wa miaka mitano ndio asherekee siku yake ya kuzaliwa. Je, Leo ni tarehe ngapi?
Replies
3
Views
587
Binti Kidawa alikwenda dukani kununua mkate na noti ya 1000. Akakuta mkate unauzwa 700, akatoa elfu 1 na kumpa muuzaji. Muuzaji hakuwa na chenji ikabidi akaombe chenji dukani kwa Manka. Baada ya muda kidogo Binti Kidawa akarudi kwa muuza duka na kumwambia noti ya elfu 1 aliyompa ni feki. Muuza...
Replies
11
Views
276
Mwanamke mmoja aliingia Dukani na kuiba Sh.100 bila mwenye Duka kujua. Baada ya dk5 akarudi na kununua kitu chenye thamani ya Sh.70 kwa kutumia ile hela aliyoiba. Mwenye duka akamrudishia chenji ya Sh.30 Mwenye Duka Kapoteza Sh. Ngapi? A: 30 B: 70 C: 100 D: 130 E: 170 F: 200
Replies
1
Views
170

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top