CHUGAH

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

The great manenge

New member
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
1,320
Reaction score
2,995
Points
0
Kuzaliwa arusha kumenifanya kuwa tofauti kabisa na watu wanaotoka mikoa mingine,kumenifanya niwe tofauti ki
**kimavazi
**kifikira
**kujituma
Sisi vijana wa arusha ni tofauti sana na wa mikoa mingine,kijana akishamaliza darasa la 7 au form 4 anatamani kuanza kujitegemea hata kama bado anasoma,vijana wa kasikazi kwanzia same,kilimanjaro,arusha mpaka babati ni watofauti sana wanajituma na wajielewa sana.

Nikiwa dar nitofauti nikiwa arusha au moshi nakuwa naenjoy nikiwa homeland,chugah ni tofauti sana na mikoa mingine.


Mtu yeyote aliyetoka arusha au moshi yupo tofauti kimaongezi mpaka life style huwa napenda ninapokutana na mtu kutoka chugah huwa tuna bonga lugha ya kichugastani.

Chugah hakuna legelege kule alafu mapenzi hatujaweka mbele pesa ndo kila kitu kwetu,vijana wadogo wanamabiashara yao na mijumba yao alafu wako simple sana,yote ni kutokana na mwingiliano wawazungu.

Rest in peace Father nelly..
Big up fido vato
Mamongoo
Simple na wote wanaowakilisha. Arusha kwa masuala ya mziki.


Viva chugah.. mama homeland

View attachment Fido_Vato_ft_Rayvanny_-_Chuga_Hio_(Official_Video)(720p) 00_01_18-00_03_19.mp4
 

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom