Conspiracy Theory: Jinsia ya Michelle Obama

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Kumekuwa na madai kutoka kwa watumiaji wa Twitter na tovuti mbalimali kuwa hati ya wapiga kura kutoka jimbo la Illinois nchini Marekani na picha ya Michelle Obama inathibitisha kuwa mke wa rais wa zamani ni mwanamume.

Ingawa taarifa hizi zimekanushwa
na Bodi ya Uchaguzi ya Jimbo la Illinois ilisema haikutoa rekodi inayodaiwa ya wapigakura iliyo rushwa mtandaoni. Taarifa za wapiga kura za mtu haziwezi wekwa mtandaoni.

Hata hivyo kumekuwa na minong'ono ya mda mrefu kuhusu jinsia ya Michelle Obama. Kuna baadhi ya watu wanadai hapo mwanzo alikuwa ni mwanaume Transgender. Wanadai kuwa alibadili jinsia na alijulikana kwa jina la Big Mike.
0ac.jpg


Kuna madai wengine wakisema hizi picha zimetengenezwa namaanisha kuwa edited obamalar-kapak.jpg
Kama unavyoona kwenye picha:
barack-michelle-obama-fake.jpg
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
In his latest attack on Michelle Obama, far-right conspiracy theorist Alex Jones claims he has "the final proof" the former First Lady is a man.

In a 12-minute video, the Infowars host analyses footage and photos which he believes prove Ms Obama has a penis.

"Since the early days of the Obama administration, citizens across the board have studied videos and photos of Michelle Obama and said that she is a man," the shock jock said.

"And even [Barack] Obama has called her over and over again Michael. But new shock footage has emerged that is being censored off the internet as fast as you can upload it."

In the video, Mr Jones shows a series a pictures of Ms Obama and points out to pleats in her dresses and trousers he says is evidence she has a penis.

The "shock" footage is a short clip showing someone saying: "Michelle is transgender, we all know it".

Mr Jones added: "Now I'm not saying that Michelle Obama is a tran and I don't hate trannies. I'm a libertarian but we have famous photos of her where it appears she has a large bulge in her pants.

Michelle appears in photos and videos to have a very large penis in her pants, her shoulders are wide, her face is very, very masculine. She looks like a tranny.

"And so you ask yourself are the children a beard for Obama and of course Michelle Obama or Michael Obama as he has called her."

Read more 👇👇
 
Last edited:

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Kuna jamaa anaitwa Alex Jones akatola hadharani kusema ana ushahidi kuhusu jinsia ya mke wa Obama, Michelle Obama. Katika hali ya kawaida mtu akikuchafua na taarifa za uongo unaweza enda Mahakama kwenye mikono ya sheria kudai fidia na adhabu.

Nadhani kutokana na kuwa hakuna hatua kubwa za kuonekana kuhusu madai haya kumekuwa na uvumi mkubwa kuwa mke wa Obama ni mwanaume hapo kabla. Ila kweli kuna picha watu wame edit kutaka kufufua mada au kuchochea mada hii mtandaoni.
 

mshamba_mkuu

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,563
Reaction score
4,525
Points
0
Kuna jamaa anaitwa Alex Jones akatola hadharani kusema ana ushahidi kuhusu jinsia ya mke wa Obama, Michelle Obama. Katika hali ya kawaida mtu akikuchafua na taarifa za uongo unaweza enda Mahakama kwenye mikono ya sheria kudai fidia na adhabu.

Nadhani kutokana na kuwa hakuna hatua kubwa za kuonekana kuhusu madai haya kumekuwa na uvumi mkubwa kuwa mke wa Obama ni mwanaume hapo kabla. Ila kweli kuna picha watu wame edit kutaka kufufua mada au kuchochea mada hii mtandaoni.
hata kama ni kweli haitokaa ijulikane, watu wa serikali hao ukiongea unapotezwa fasta
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
sema hii inafikirisha....

unaeza pendana na mtu ukaoa/ kuolewa kumbe ni trans hajakuambia, watu watauziwa papai kwenye gunia
Ndio maana legends wanapima oil kwanza kabla hujafanya chochote. Washamba wakifika chumbani linavua nguo zote what if mwanamke akiona akaghairi? Unafikiri mwili kama huu mwanamke atakubali?FB_IMG_1689005593839.jpg

States Ukikutana na mwanamke usipopima oil unaweza kutana na dushe
 

mshamba_mkuu

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,563
Reaction score
4,525
Points
0
Ndio maana legends wanapima oil kwanza kabla hujafanya chochote. Washamba wakifika chumbani linavua nguo zote what if mwanamke akiona akaghairi? Unafikiri mwili kama huu mwanamke atakubali?View attachment 804

States Ukikutana na mwanamke usipopima oil unaweza kutana na dushe
trans hutomjua kwasabu kafanyiwa upasuaji ana mbunye kabisa😬

inaogopesha
 

Similar threads

Katika makuzi yetu tumekuwa na marafiki wa udogoni na marafiki wa shuleni. Ni raisi sana taarifa zako kuvuja kutoka kwa watu uliokua nao au kusoma nao. Kumekuwa na taarifa kuwa raisi mstaafu wa Marekani Barack Obama ni mzaliwa wa Kenya. Kulingana na taarifa hizi Obama hakustahili kugombea...
Replies
12
Views
231
Mwanapatholojia James C. Jenkins alikuwa mmoja wa madaktari wanne waliofanya uchunguzi wa mwili wa JFK baada ya kuhamishiwa katika Hospitali ya Naval ya Bethesda. Akieleza katoka uchunguzi wa kifo cha JFK baada ya miaka 55 kwamba aligundua kuwa fuvu hilo lilifanyiwa upasuaji kabla halijafika...
Replies
7
Views
222
Kipindi ambacho dunia imekuwa sawa na kijiji kidogo, mawasiliano ni rahisi mno. Mpaka leo hayajatolewa majibu; kwa nini ilikuwa vile. Ilitokeaje? Ukweli ni upi? Taarifa zikaanza kutolewa mitandaoni kuwa Rais Magufuli alikuwa na hali mbaya kiafya. Ikaelezwa alifikishwa mpaka Kenya. Wapo...
Replies
10
Views
629

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom