Conspiracy Theory: Obama Ni Mkenya

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Katika makuzi yetu tumekuwa na marafiki wa udogoni na marafiki wa shuleni. Ni raisi sana taarifa zako kuvuja kutoka kwa watu uliokua nao au kusoma nao.

Kumekuwa na taarifa kuwa raisi mstaafu wa Marekani Barack Obama ni mzaliwa wa Kenya. Kulingana na taarifa hizi Obama hakustahili kugombea uraisi wa marekani.
CKmy76tW8AAD8mG.jpgobama-grandmother-before-he-vied.png
Raisi mstaafu wa marekani Trump pia amesikika akisema kuwa Obama hakuwa mzaliwa wa marekani. Alifika mbali kabisa kwa kumaukuma Obama aonyeshe cheti chake cha kuzaliwa.

Katika hali ya kawaida kama kukanusha taarifa hizi Obama angeweza kuonyesha cheti chake cha kuzaliwa kipindi kile cha kampeni kuonyesha kuwa ni taarifa za uongo. Mpaka baadae kabisa baada ya shutuma kuzidi akaamua kiwekwe hadharani
obama.birthcert.jpg

Vipi maoni yako kuhusu taarifa hizi? Je kipi umesikia kuhusu taarifa hizi?
 
Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113

The great manenge

New member
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
1,320
Reaction score
2,995
Points
0
Katika makuzi yetu tumekuwa na marafiki wa udogoni na marafiki wa shuleni. Ni raisi sana taarifa zako kuvuja kutoka kwa watu uliokua nao au kusoma nao.

Kumekuwa na taarifa kuwa raisi mstaafu wa Marekani Barack Obama ni mzaliwa wa Kenya. Kulingana na taarifa hizi Obama hakustahili kugombea uraisi wa marekani.
View attachment 806View attachment 807
Raisi mstaafu wa marekani Trump pia amesikika akisema kuwa Obama hakuwa mzaliwa wa marekani. Alifika mbali kabisa kwa kumaukuma Obama aonyeshe cheti chake cha kuzaliwa.

Katika hali ya kawaida kama kukanusha taarifa hizi Obama angeweza kuonyesha cheti chake cha kuzaliwa kipindi kile cha kampeni kuonyesha kuwa ni taarifa za uongo. Mpaka baadae kabisa baada ya shutuma kuzidi akaamua kiwekwe hadharani
View attachment 80576

Vipi maoni yako kuhusu taarifa hizi? Je kipi umesikia kuhusu taarifa hizi?
Kwahiyo yule mke wake ni mwanaumee
 
Muhindi Wa Kuchoma

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jul 9, 2023
Messages
3,821
Reaction score
3,805
Points
113
Obama inawezekana kazaliwa Kenya ila kakulia America. Hivyo hizi tetesi huwa ukizaliwa sehemu unahesabika uraia wa hapo. Anyways He has done more for USA that Africa
 
Similar threads

Kumekuwa na madai kutoka kwa watumiaji wa Twitter na tovuti mbalimali kuwa hati ya wapiga kura kutoka jimbo la Illinois nchini Marekani na picha ya Michelle Obama inathibitisha kuwa mke wa rais wa zamani ni mwanamume. Ingawa taarifa hizi zimekanushwa na Bodi ya Uchaguzi ya Jimbo la Illinois...
Replies
14
Views
443
Mwanapatholojia James C. Jenkins alikuwa mmoja wa madaktari wanne waliofanya uchunguzi wa mwili wa JFK baada ya kuhamishiwa katika Hospitali ya Naval ya Bethesda. Akieleza katoka uchunguzi wa kifo cha JFK baada ya miaka 55 kwamba aligundua kuwa fuvu hilo lilifanyiwa upasuaji kabla halijafika...
Replies
7
Views
222
Kipindi ambacho dunia imekuwa sawa na kijiji kidogo, mawasiliano ni rahisi mno. Mpaka leo hayajatolewa majibu; kwa nini ilikuwa vile. Ilitokeaje? Ukweli ni upi? Taarifa zikaanza kutolewa mitandaoni kuwa Rais Magufuli alikuwa na hali mbaya kiafya. Ikaelezwa alifikishwa mpaka Kenya. Wapo...
Replies
10
Views
629

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom