Diamond amuandikia ujumbe mzito mama yake.

Anonymous

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
515
Reaction score
143
Points
0
Kupitia ukurasa wake wa Instagram, Staa huyo wa muziki wa Bongo Fleva na CEO wa lebo ya WCB na Mkurugenzi wa Wasafi Media Diamond Platnumz ameandika kuwa

“Nakumbuka Mwaka Mmoja wakati unafanya kazi ya Saloon kariakoo, tukiwa tunarudi usiku majira kama ya saa sita hivi kwenye Daladala nikakwambia “Usijali mama Kuna siku nitatoboa kwenye mziki na nitakufungulia na wewe Saloon yako”…Vyote naweza visahau lakini maneno haya siwezi yasahau, kwasababu nilikuambia kwa uchungu nilipokuona unanitazama kwa huruma na Uchungu, kwa jinsi nilivyokua nahangaika na maumivu ya kiti chamoto kwenye Daladala ya Hiace… Nakupenda na Nakuheshimu sana, na siku zote ujue kwamba wewe ndio sababu ya mimi Kupambana usiku na mchana ili kuhakikisha unapata furaha ambayo uliikosa kwa muda mrefu…Happy Birthday Mom, Mwenyez Mungu akupe Maisha marefu yenye Furaha, Afya na Amani @mama_dangote
❤️‍🔥
🎂
❤️‍🔥


Bongo5
 

Similar threads

Al Jumaa Mubarak wakuu... Mwezi uliopita msanii mkubwa zaidi Tanzania Diamond Platnumz aka Chibu Dangote alijinasibu kwamba ataanza kuporomosha mangoma ya hatari kwa kuzingatia soko la ndani na la nje (local & International) na katika kuhakikisha anafanya alichokiahidi, akatoa ngoma mbili kali...
Replies
20
Views
504
Kifo ni fumbo kubwa sana kwa mwanadamu japo wako wengi waliojaribu kufumbua fumbo la kifo wameshindwa. Hata wanasayansi wakiobobea wamejaribu kutengeneza maisha ya Kudumu ila kifo kikawaita. Hapa kupitia uzi huu tutawakumbuka ndugu zetu au marafiki zetu waliotangulia mbele za haki kwa kuwapa...
Replies
29
Views
430

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top