Gender Equality: Usawa wa Kijinsia - Gentleman

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,628
Reaction score
26,450
Points
113
Swahili Version:
Wanaume hawa walikataa kumpisha mwanamke kukaa. Walidai kuwa wamechoka na mwanamke anaweza kusimama. Pia walisema mwanamke anaweza kufanya kile ambacho mwanaume anaweza kufanya, wakimanisha anaweza kusimama. Kwa hiyo hawakuona inafaa kumpa kiti. Mmoja wa wanaume alisema sisi wanaume tunafanya kazi ngumu ambapo usawa wa kijinsia hauzingatiwi na si haki kwa mwanamke kutusumbua tunapotaka kupumzika na haina mantiki kwa mtu yeyote kutulaumu sisi ambaye haelewi tunayopitia. Inabidi tujisemee wenyewe kwani jamii haiwezi kumtetea mwanaume.
FB_IMG_1690358919463.jpg

English Version:
These men refused to pave way for a woman to sit. They claimed they are tired and woman can stand. They also said a woman can do what a man can do, she can stand. So they didn't see it fit to give her a seat. One of men said us men do hard jobs where gender balance is not considered and it's unfair for a woman to disturb us when we want to rest and it's illogical for anyone to blame us who doesn't understand what we go through. We have to say it for ourself since society can't defend a manFB_IMG_1690358919463.jpg
 
I love this
"Us men do hard jobs where gender balance is not considered and it's unfair for a woman to disturb us when we want to rest and it's illogical for anyone to blame us who doesn't understand what we go through. We have to say it for ourself since society can't defend a man"
 
sio sawa kumwacha mjamzito akasimama wewe uketi kama unaafya, aujachoka nk... ila mara nyingi watu kama hao, wazee, walemavu na wajawazito wanaona gari limejaa lakini wanapanda sijui wanawazaga nn...
 
sio sawa kumwacha mjamzito akasimama wewe uketi kama unaafya, aujachoka nk... ila mara nyingi watu kama hao, wazee, walemavu na wajawazito wanaona gari limejaa lakini wanapanda sijui wanawazaga nn...
Wanawaza kwamba sababu ya hali Yao ya ujauzito atatokea msamalia atasimama na yeye atakaa na mara nyingi wanaosimama ni wa Kaka😯😯 mnamioyo mizuri sana
 
Katika hii dunia hamna kitu kinaitwa gender equality kitu pekee wanachoweza fanya ni kuwahamasisha wanawake na mabinti kushiriki katika jamii, kazi na vitu mbalimbali na kuondoka Ile concept kwamba hiki ni cha wanaume pekee.. Gender equality will never be achieved🙂🙂 mawazo yangu tuu😐
 
Hah wanaosukuma gender balance ni wanawake 😀 Ingawa katika baadhi ya kazi nyingine wanasema kazi za kiume
 
Ni Sawa wao kufanya ili kuhamasisha wanawake katika uwajibikaji lakini mwanaume atabaki kuwa mwanaume..!!
Ili kusiwe na mkanganyiko everybody should do their roles. Most of time we have different roles between men and women
 
Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top