Hivi dunia bila purukushani ingenoga au ndio ingeboa?

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113
Wakuu mko poa, nawasalimu kwa upendo,,,

Hivi umewai kujiuliza kama dunia ingekua haina kurupushani ingekuwaje?
Yani kila kitu ni kamserereko, kila kitu ni chema, no pain, hakuna usaliti, hakuna kulia yani ni furaha tu, yani suala la uongo lisiwepo kabsa, wizi wizi huu na uonevu wote hamna, unazani dunia inge damshi/kunoga au ingekuwa too much?
Yani hakuna kuteseeeka, shida isijulikane kabsa, kila unachopanga unakipata tu, hamna kupungukiwa ni utele juu ya utele life kama kwenye ndoto vilee.

Au unaona hizi purukushani ndio zinazo leta utamu wa maisha? kuamka kombora, kukimbia huku na kule, kukwama hapa, kutapeliwa kule, mara uumwe, usalitiwe, ukose hela, ufiwe uachwe nk yaani hizi panda shuka za duniani sio kwamba ndio zina motivate watu watafute na wakipata waone wamepigana kweli na wanastaili kwa jitiahada walizopiga? Au wewe unawazo gani mwana KF.... karibuuu
 
Last edited:

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113
😂😂😂 bora hivyo hizi purukushani zimezidi unatafuta pesa kwa jambo abdalh kichwa pazi anazivyeka kwa dk 10, mara uumwe uchomwe zindani na madokta wa field uvimbe zaidi, yote tisa unakula chakula mara mzio unatoka mapele

All in all duniani kuna dhiki hakuna furaha huku kamwe tutumainie mbinguni tu huko ni kamseleleko maana baba atatupa kila kitu
 

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113
😂😂😂 bora hivyo hizi purukushani zimezidi unatafuta pesa kwa jambo abdalh kichwa pazi anazivyeka kwa dk 10, mara uumwe uchomwe zindani na madokta wa field uvimbe zaidi, yote tisa unakula chakula mara mzio unatoka mapele

All in all duniani kuna dhiki hakuna furaha huku kamwe tutumainie mbinguni tu huko ni kamseleleko maana baba atatupa kila kitu
Sio kwamba raha zitatuchosha?
 

mshamba_mkuu

New member
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,563
Reaction score
4,525
Points
0
Isingenoga. Vizuri na vibaya vinayapa maisha maana.

Ndo maana nadharia ya mbinguni haina mashiko, uishi milele bila matatizo yoyote na uwe na furaha? Hapana.

Labda kama utashi wako wote utaondolewa na utafanywa kikalagosi.
 

Similar threads

Yaani watu wako wa tofauti kwenye hii dunia, inakuwaje unamdalalia chajuu mtu wako wa karibu? Unapata nguvu kabisa ya kumpiga cha juu mtu anaye kwamini? Mzazi ni mtu wa kumdalalia? Mke/mume ni mtu wa kumdalalia? Rafiki na ndugu ni watu wa kuwadalalia chajuu? Kuna jamaa leo kanipigia simu...
Replies
4
Views
376
Wakuu mko gud? Mimi niko gudi kabisa na mshukuru muumba wa mbingu na nchi niko mzima, na nina furaha na amani, nmeshiba, na nina kama afu kumi na tatu za kenyA mfukoni😊 Najua mpaka hapa nitakua nimeshakwaambukiza ka furaha na ka amani kwa wote ambao hamko sawa😀 Kumekuwa na misemo ya hekima...
Replies
9
Views
457
Nigudi ee? Niko gudi piaa. Umeshawai kujiuliza familia ya baba mama na watoto inaweza kuishije ndani ya chumba kimoja? Baba na mama huwa wanafanyaje mambo ya faragha katika chumba kimoja na watoto hata kama wamelala? Hapo nimezungumza tu kuhusu family members bado vyombo, kitanda, makochi...
Replies
14
Views
414
  • Question Question
Naomba mnisaidie kama kuna faida yoyote sisi kama wa Tanzania tunapata kupitia mahusiano yetu na Russia ... Ili swali limekuja baada ya kuona Mh. waziri mkuu Kassim Majaliwa ameudhuria kwenye mkutano huko Russia(The Russia Africa Summit 2023).. Pia nkajiuliza kuudhuria huko kwa mh. waziri mkuu...
Replies
5
Views
390
Habari zenu.. The great manenge KF President. Basi nikiwa kama Raisi wa heshima kabisa. Nitafanya haya.: Nitahakikisha kila forum nimeandika uzi mmoja koki/jiwe. Nitajitahidi ndani ya huo mwenzi mmoja niliyopewa members wasiwe chini 100 tena active. Last one kipo moyoni mwangu..
Replies
58
Views
787

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom