Hivi unaweza kumdalalia chajuu rafiki yako wa karibu?

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,883
Reaction score
3,969
Points
113
Yaani watu wako wa tofauti kwenye hii dunia, inakuwaje unamdalalia chajuu mtu wako wa karibu?

Unapata nguvu kabisa ya kumpiga cha juu mtu anaye kwamini? Mzazi ni mtu wa kumdalalia? Mke/mume ni mtu wa kumdalalia? Rafiki na ndugu ni watu wa kuwadalalia chajuu?

Kuna jamaa leo kanipigia simu ananiambia nimemuelekeza mzee wangu hapo mpe fast charger ya 15,000/= kwa shiling 20,000/= alafu iyo 5000/= utanitumia m-pesa, nikashtuka sanaaa.

Je wewe unaweza fanya udalali kwa mtu wako wa karibu kama uyu njemba?
 
Kuna watu wana roho za kimasikini sana. Kuna baba yangu mdogo nilifanya nae ujenzi yani akawa ananiibua mchana kweupe, watu wana roho ndogo kweli

Yani kujenga anaina kama utakuwa tajiri sana anapambana kukurudisha nyuma. Marafiki wa namna hii kao nao mbali.
 
Kawaida sana haya mambo

Ukiona hivyo kwako yeye ni rafiki kwake wewe sio rafiki kivile
 

Similar threads

Wakuu mko gud? Mimi niko gudi kabisa na mshukuru muumba wa mbingu na nchi niko mzima, na nina furaha na amani, nmeshiba, na nina kama afu kumi na tatu za kenyA mfukoni😊 Najua mpaka hapa nitakua nimeshakwaambukiza ka furaha na ka amani kwa wote ambao hamko sawa😀 Kumekuwa na misemo ya hekima...
Replies
9
Views
457
Wakuu mko poa, nawasalimu kwa upendo,,, Hivi umewai kujiuliza kama dunia ingekua haina kurupushani ingekuwaje? Yani kila kitu ni kamserereko, kila kitu ni chema, no pain, hakuna usaliti, hakuna kulia yani ni furaha tu, yani suala la uongo lisiwepo kabsa, wizi wizi huu na uonevu wote hamna...
Replies
20
Views
485
Nigudi ee? Niko gudi piaa. Umeshawai kujiuliza familia ya baba mama na watoto inaweza kuishije ndani ya chumba kimoja? Baba na mama huwa wanafanyaje mambo ya faragha katika chumba kimoja na watoto hata kama wamelala? Hapo nimezungumza tu kuhusu family members bado vyombo, kitanda, makochi...
Replies
14
Views
413
  • Question Question
Naomba mnisaidie kama kuna faida yoyote sisi kama wa Tanzania tunapata kupitia mahusiano yetu na Russia ... Ili swali limekuja baada ya kuona Mh. waziri mkuu Kassim Majaliwa ameudhuria kwenye mkutano huko Russia(The Russia Africa Summit 2023).. Pia nkajiuliza kuudhuria huko kwa mh. waziri mkuu...
Replies
5
Views
390
Habari zenu.. The great manenge KF President. Basi nikiwa kama Raisi wa heshima kabisa. Nitafanya haya.: Nitahakikisha kila forum nimeandika uzi mmoja koki/jiwe. Nitajitahidi ndani ya huo mwenzi mmoja niliyopewa members wasiwe chini 100 tena active. Last one kipo moyoni mwangu..
Replies
58
Views
787
Back
Top