Ios 17 kuja na audio message to text

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113
Sio kila wakati / nyakati unataka kusikiliza voice message kwenye simu yako ya iphone. Tuchukulie uko sehemu yenye watu wengi alafu Ujachukua Earphones umetumiwa ujumbe wa sauti utaki watu wasikie unafanyaje?

Apple wamekuja na feature mpya kwenye ios ya 17 ambayo inaitwa Audio Message utakua na uwezo wa ku tafsiri voice message ya sauti kuwa ujumbe na kuweza kusoma kwenye simu yako badala ya kusikiliza.

Utaweza kuona chini ya Audio file lako ulilotumiwa utaweza kusoma message badala ya kusikiliza sauti uliyotumiwa na rafiki, ndugu, jamaa, mpenzi nk.

Hii ni feature ambayo ilikuwepo toka mwaka jana kwa watumiaji wa simu za Google pixel 7 pamoja 7 pro Google ndo walikua wa mwanzo kutambulisha huu mfumo.
 

Similar threads

Tumeona feature nyingi zikitoka mwaka huu 2023 kwenye WhatsApp wanazidi kuendelea kufanya vyema sana kwenye ulimwengu wa Teknolojia. WhatsApp wanakuja na feature mpya ya kuweza kurahisisha mambo mengi kwenye Akaunti zetu, unakumbuka ile feature ya kuweza kutumia Akaunti moja kwenye vifaa zaidi...
Replies
14
Views
232

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom