Jamani kuajiriwa ni ngumuu..

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Kondeni0112

KF President
Platinum Villager
Joined
Jul 3, 2023
Messages
1,897
Reaction score
3,986
Points
113
Niajee
Wakuu kusema la ukweli nilikua natamani sana kula ajira..
Juzi kati hapa (wiki 2) niliitwa na jamaa nilishawai kumfanyia kazi ya kujenga banda la kuku (la chuma), huyu jamaa kipindi namjengea banda nlimueleza kua natafta kazi na nimesomea nini.

Kweli yule jamaa amenitaftia mchongo ndio niko chini ya uangalizi wakiridhika na utendaji kazii niamishiwe mkoani rasmi.

Kwa siku mbili tatu hizi ninafuraha ila nahisi siko huru tena, sijasoma bible kabsaa(mpaka naogopa)...

Naimani mshara nusu watakao nipa wakati huu wa uchunguz utanitia moyo kuendelea..

Wacha niishie hapa
 

Leejay

Miss KF
Platinum Villager
Joined
Jun 4, 2023
Messages
1,219
Reaction score
3,280
Points
113
Hongera,, ila usije ukabweteka ukiwa kazini angalia fursa nyingine pia nje na kazi..utafika mbali sana
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,609
Reaction score
26,404
Points
113
Unatakiwa utengeneze mianya ya kuongiza pesa
Kuajiriwa sio ngumu kipato chako kina matumizi makubwa
 

Similar threads

  • Article Article
Jumatatu naamkia makao makuu ya nchi , katika wiki kadhaa nyuma . Huko nafanya kilicho nipeleka , najipanga kurudi ila nasema wacha nimpigie rafiki yangu mmoja kutoka huko kwa washua ( Wahaya) Bila ajizi anapokea simu , makutano yanapangwa tunakuwa na muda mzuri sana kwenye kumbi za starehe...
Replies
23
Views
502

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom