Je, umri upi ni sahihi kumtahiri mtoto wa kiume?

Gily

KF Founder & Dragon IGM
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 4, 2023
Messages
7,617
Reaction score
26,429
Points
113
Kumekuwa na tetesi kuwa kutajiri mtoto wa kiume katika umri mdogo humfanya awe na kibamia.

Uchagani ilikuwa kijana lazima atimize umri wa kuoa kwanza ndipo anafanyiwa tohara. Wakati anafanyiwa jando mkewe mtarajiwa anakuwa chumba cha pili anasikiliza kama mumewe mtarajiwa atapiga kelele au kulia. Endapo utapiga kelele au kulia ni ishara ya udhaifu. .


-Gily-
 
Siku ya 7 baada ya kuzaliwa

Kibamia hakihusiani kibamia ni kibamia tu havihisiani wanachokata wao ni forehead skin sio penis
Kumekuwa na tetesi kuwa kutajiri mtoto wa kiume katika umri mdogo humfanya awe na kibamia.

Uchagani ilikuwa kijana lazima atimize umri wa kuoa kwanza ndipo anafanyiwa tohara. Wakati anafanyiwa jando mkewe mtarajiwa anakuwa chumba cha pili anasikiliza kama mumewe mtarajiwa atapiga kelele au kulia. Endapo utapiga kelele au kulia ni ishara ya udhaifu. .


-Gily-
 

Similar threads

  • Question Question
Je niumri gani sahihi kufanya maendeleo?
Replies
14
Views
294
Umri ambao mwanaume ana uzazi mkubwa zaidi ni kati ya miaka 22 na 25. Inapendekezwa kuwa na watoto kabla ya kufikia umri wa miaka 35. Baada ya umri huu, uzazi wa kiume huanza kudhoofika. Baada ya miaka 35, manii inaweza kusababisha ujauzito ambapo mabadiliko yanaweza kutokea. Zaidi ya hayo...
Replies
10
Views
281
Habari ndugu zangu . Nikiwa hapo ulipokuwa baada ya mimi kuja kufanya umbea wangu nilikuonea huruma sana mzee mwenzangu . Mdomoni unaonekana mwamba ila sura na sauti vilinionesha kuwa unajuta ila hautaki kukubali . Siku kadhaa ulizokaa kaka yangu umetoka umekongoroka kama sio wewe . Aisee...
Replies
15
Views
455
Je, ni umri gani napaswa kumpa mtoto wangu maziwa ya Ng'ombe? Baada ya umri wa miezi 12 (lakini sio kabla ya miezi 12), mtoto wako anaweza kupewa maziwa ya ng'ombe. Kabla ya mtoto wako kufikia umri wa miezi 12, maziwa ya ng'ombe yanaweza kumweka katika hatari ya kutokwa na damu ndani ya utumbo...
Replies
6
Views
319
Kwa Nini Levina Alijiua ? Katika toleo la Sauti ya Siti lililochapishwa mwanzoni mwa 1990, mwanahabari Chemi Che-Mponda alielezea kushindwa kwa Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kujibu malalamiko ya mara kwa mara ya Levina ya unyanyasaji wa kijinsia na kifo chake cha kujiua. Shangazi yake Levina na...
Replies
4
Views
251

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top