- Jul 3, 2023
- 1,897
- 3,986
- 113
Je wajua?
Harufu unayo isikia katika geto lako au chumba chako pale unapokua ujaingia mda mrefu(ulisafiri kwa muda ) hiyo harufu unayo isikia siku hiyo uliyorudi ndio harufu wanayo kutanaga nayo wageni zako wanapo ingia chumbani kwako mara ya kwanza..
Kama nguo yako imevujia wino(wa kalamu), njia rahisi ya kutoa uo wino ni kupaka dawa ya meno na kuacha kwa mda na ukiosha inatoka yoote kabsaa...
weka jee wajua yako hapo down