Karanga mbichi, mhogo, nazi haviongezi nguvu za kiume

Muhindi Wa Kuchoma

Well-known member
Platinum Villager
Joined
Jul 9, 2023
Messages
3,822
Reaction score
3,805
Points
113
Kina imani kiwa mihigo, jaranga na nazi huongeza nguvu za kiume, SIO KWELI. Hakuna ushahidi wa moja kwa moja kiwa zinaongeza nguvu za kiume, ingawa kisayansi kutumia vitus hivi huongeza shahawa.

Kwa wenye matatizo ya nguvu za kijme wasitegemee kupona kutumia njia hizi.

nazi-365x365.jpg
 
View attachment 1606
Mi navyojua zinaongeza kiwango cha shahawa mwilini. Hivyo huzifanya kuwa nzito sana kama uji.
 
Last edited:
Inaweza ikawa dawa, maana mtu akila hizo vitu kwaimani yakuwa na nguvu moja kwa moja anakuwa na ujasiri, na ujasiri ndio kila kitu kwenye hiyo secta(nasikia)
 
Kwamba pastor we hutumiiii nazi
 
Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top