Kesi kupinga mkataba uwekezaji bandari kuanza kusikilizwa leo Mbeya

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

Gily

KF Founder & Dragon IGM
Staff member
Jun 4, 2023
7,020
22,618
113
Mbeya. Sakata la uwekezaji bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai kupitia kampuni ya DP World hatimaye limefika mahakamani leo Jumatatu Julai 3, 2023 jijini Mbeya.

Kesi hiyo upande wa utetezi unaongozwa na wakili wa kujitegemea, Boniface Mwabukusi na Philipo Mwakilima

Kesi hiyo ilifunguliwa Juni 27, mwaka huu katika Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya kupinga baadhi ya vifungu vya mkataba huo.

Kesi hiyo namba 05/2023 inawahusisha Mwanasheria Mkuu wa Serikali, Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi na Katibu wa Bunge.

MWANANCHI.
 

Muhindi Wa Kuchoma

Well-known member
Platinum Villager
Jul 9, 2023
3,787
3,778
113
Naunga mkono
Sikatai mkataba
Nakataa mkataba usio na maslahi nasisi
Hatuwezi ingia mkataba kwa ajili ya kizai cha baadae
mikatsba ihusu kizazi chetu tu
 

Gily

KF Founder & Dragon IGM
Staff member
Jun 4, 2023
7,020
22,618
113
Naunga mkono
Sikatai mkataba
Nakataa mkataba usio na maslahi nasisi
Hatuwezi ingia mkataba kwa ajili ya kizai cha baadae
mikatsba ihusu kizazi chetu tu
True true
Naona kesi iko mahakamani tungojee tuone muelekeo
Wanasiasa wa wapinzamk wanafanya midahalo kuelemisha jamii juu ya mikataba hii

Wananchi wanapaswa washirikishwe kufanya maamuzi kupitia kura ya maoni
 

Similar threads

Dar es Salaam. Sakata la Jaji Mkuu, Profesa Ibrahimu Juma kuendelea kusalia kwenye nafasi hiyo limechukua sura mpya baada ya Wakili wa kujitegemea, Humphrey Simon Malenga kufungua kesi ya kikatiba Mahakama Kuu Masjala Kuu, Dar es Salaam kupinga kiongozi huyo kuongezewa muda wa utumishi huo...
Replies
2
Views
574
Onyo: Baadhi ya maelezo katika hadithi hii yanaweza kuwa ya kusumbua. Kesi hii ya mauaji inachukuliwa kuwa moja ya zilizo muhimu zaidi katika historia ya uchunguzi wa Polisi wa Tamil Nadu kwani sayansi ya uchunguzi ilichukua jukumu ambalo halijawahi kushuhudiwa katika kuthibitisha mauaji...
Replies
3
Views
194
Mahakama Kuu nchini Tanzania hii leo imetupilia mbali kesi iliyokuwa inapinga mkataba (IGA) wa uwekezaji wa bandari baina ya serikali ya Tanzania na falme ya Dubai. Kesi hiyo iliyofunguliwa katika mahakama kuu kanda ya Mbeya na walalamikaji wanne ambao walidai mkataba huo unaenda kinyume na...
Replies
25
Views
915
Mnamo mwaka wa 1987, aliyekuwa rais wa Chuo cha Marekani cha Sayansi ya Uchunguzi, Dk. Don Harper Mills, alipanda jukwaani kwenye karamu ya washiriki wa shirika hilo na kusimulia hadithi kuhusu kisa cha wakati huo; ambapo mchunguzi wa matibabu alikuwa amechunguza kifo cha kutiliwa shaka na...
Replies
24
Views
343
Mbeya. Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya itaanza kusikiliza maombi ya kupinga mkataba uwekezaji wa bandari kati ya Serikali ya Tanzania na Dubai kupitia Kampuni DP World baada ya kupokea majibu ya Serikali. Katika maombi hayo ya kikatiba, waleta maombi wanaitaka Serikali kuieleza mahakama sababu za...
Replies
1
Views
580
Top Bottom