- Jul 8, 2023
- 1,320
- 2,995
- 0
Jamani kwema.
Mbona humu kimya sana
Mbona humu kimya sana
Kunatishakaribu
watu wanasaka pesaKunatisha
Daahwatu wanasaka pesa
Wewe unalea au mke wako??Aisee leo nilimpeleka mke wangu Clinic kumcheki mshono wake na kumchoma mtoto chanjo. Mtoto anasumbua hapa maumivu ya chanjo
Nimeshindwa kuwepo hapa kwa sababu nalea wewe dogo uliyenitext kuwa nanyonyesha kaa ukijua ban kutoka kwangu ni ya maisha
mwanaume anatunza??Wanaolea ni mwanamke tu?wanaume hawalei, au sio?
We use essential cookies to make this site work, and optional cookies to enhance your experience.