Kwisha

Welcome to our community

Looks like you don't have an account yet? Be apart of something great, join today! Create account to get more access like posting, reacting to others helpful post and your own private message Register Or Login

The great manenge

New member
Platinum Villager
Joined
Jul 8, 2023
Messages
1,320
Reaction score
2,995
Points
0
Katika ukuaji wa Anna,mama aliniambia niache kufukuzia mademu wanuka mkojo,ujio wa amapiano umefanya rasta wasikilize zaidi taarabu.

Mtoto akilia mpe wembe ajikate kucha,na mtu asikuambie wewe ni mnzuri mpaka uende msikitini kumuona padre,wali wa maharage na bigiji unafaa kutengeneza kamba ya kufungia mbwa.

Pesa ni kifaa cha kuongoza machizi kucheza na pogba singeli,sipendi kutongoza mapanzi na bikra ya kichina,computer imefungia maandazi saloon.

Usione watu wanaakili ukajua mshahara umetoka Kwa panya Road,niliambiwa kuwa oyaone nikajua mizingwe pinda anamtokea spika wa bunge.
 

Hakimu

Immortal Village Hero
KF Founder
KF Moderator
Joined
Jun 3, 2023
Messages
2,711
Reaction score
6,226
Points
113
Soma tena
Tired Good Night GIF by Max
Tired Tv Land GIF by TV Land Classic
 

Donations

Total amount
$0.00
Goal
$300.00
Back
Top Bottom